John Heche,
Upangaji wa kamati za bunge umelenga kufanya bunge kuwa chombo kinachosimamiwa na serikali badala ya bunge kuisimamia serikali. kamati ya PAC ambayo kanuni inasema itaongozwa na upinzani wamewekwa ukawa 6 ccm 17 kamati ya Ukimwi ukawa 11 ccm 12, ukiangalia kamati ya LAAC ambayo ni kamati ya hesabu za serikali za mitaa ccm 16 ukawa 6 itakumbukwa pia kwa mujibu wa kanuni kamati hii inaongzwa na upinzani. Hivyo hivyo kwenye kamati ya bajeti na kwingine, wabunge wengi wenye uzoefu na uwezo wameondolewa kwenye kamati ambazo wangepangwa wangesaidia nchi. Kama wewe ni msafi na unataka nchi iende mbele kwa kauli zako za HAPA KAZI TU kwanini unataka kunyamazisha bunge ambacho ni chombo cha wananchi! Kuna mambo mengi sana yanataka kufichwa hapa. Ikumbukwe pia kwamba mambo mengi ya bunge yanaishia kwenye kamati yanayooneka kwenye Bunge la wazi ni kidogo sana.

No comments:
Post a Comment