Saturday, January 23, 2016

News: Basi la BM la Dar-Morogoro, wengi wamekufa

Habari News Tanzania

Kuna ajali ya Basi la MB imetokea usiku wa kuamkia leo maeneo ya Mikese Morogoro. Basi limegongana na gari lingine na kutumbukia kwenye Korongo.


Walo na taarifa kamili au picha tusaidiane katika kuhabarisha hii ajali. 

No comments: