Sunday, January 24, 2016

Waendesha Bodaboda wa Dodoma waenda Kwa Mh. Lowassa

Waendesha Boda boda wa mkoa wa Dodoma wamefika nyumbani kumsalimia mh. Lowassa baada ya kumuona akitoka kanisani asubuhi hii. Hii inadhirisha baado Mh. Lowassa yupo mwoyoni kwa Watanazania

No comments: