KIVUKO cha MV
Kilombero 11 kilichonunuliwa kwa mamilioni ya fedha wakati wa. Serikali
ya awamu ya tatu, ili kuwa mkombozi wa wananchi wa Wilaya ya Ulanga kimezama leo na watu wawili hawajapatikana. Waziri wa uchukuzi na Kamati ya maafa wapo eneo la ajali.
Kivuko cha kilombelo kabla ya kuzama kutokana na upepo mkali
Kivuko cha kilombelo kabla ya kuzama kutokana na upepo mkali
No comments:
Post a Comment