Habari kutoka bungeni leo:
Kutokana na Taarifa ilisombazwa na EA radio. Mbunge wa Musoma mjini amesema kuwa wabunge wa upinzani hawakufata utaratibu wa kibunge kupinga hoja ya serikali kwa kupeleka taarifa yao katika kamati husika na baadaeTaarifa ingesomwa na kunchangiwa na wabunge. kwa mujibu wa Mh.Daavid Mathayo ni kuwa wabunge wa ccm wameshindwa kuwapa support wabunge wa upinzani baada ya wabunge hao kufanya fujo zisizo na msingi wowote!
Lakini kitu kilichomshangaza mtangazaji wa suppermix maarufu kama zembwela ni kuwa wabunge wa upinzani wamekuwa wakitoka bungeni baada ya kupokea posho zao na hivyo kumshauri bunge na speaker kuleta karatasi za kusign posho jioni badala ya asubuhi. Ili wanaotoka bungeni wasipewe posho zao za vikao.

No comments:
Post a Comment