Kilimo cha konokono kwa ajili ya chakula kimekuwa sana bara la Africa na Asia kuna soko kubwa sana ulaya. Konokono mwitu huwa wanasumu , Mfugaji anaeanza kufuga konokono lazima awatoe sumu kwanza kwa kutumia vyakula kama unga na mbogamboga.
Mazingira ya kufuga konokono hawa lazima iwe sehemu ya ubaridi kidogo mfano chini ya mti au kwenye banda, mabox ya friji mabovu, au mabox ya mbao.
Bei ya konokono mmoja kwenye soko ni kati ya USDollar 30 hadi 300,
Konokono wakiwa sokoni Italia

No comments:
Post a Comment